FLAVIAN IS FLAVIAN TEMBA: 1950 -2015
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania kwa Masikitiko makubwa tunaungana na Mweka na Mweka Hazina wetu Dr.Temba kutangaza kifo cha Kaka yake mpenzi Mzee Flavian Temba kilichotokea ghafla usiku wa June 10,2015 katika Hospitali ya Mawenzi Moshi Kilimanjaro, Tanzania. Kama ilivyo desturi yetu wanajumuiya tuungane na Dr.Temba katika kumfariji Yeye na familia yote pamoja na kumuombea dua marehemu Mwenyeenzi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi...Ameen. Dr.Temba 347-489-6532. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA. Uongozi
Tujitokeze leo nyumbani kwa Dr Temba kuanzia zaa kumi jioni kwa mwenye nafasi anakaribishwa kuungana na Watanzania wengine kumpa pole Dr Temba kwani leo marehemu ndiyo anapumzishwa kwenye nyumba ya milele. Address:
133-06 140th St, Jamaica. Ny 11436
NY Tanzania Community.
Alizaliwa Uru Shimbwe na alikuwa Mwalimu Lyamungu Secondary School, Moshi Kilimamjaro Tanzania.
Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania kwa Masikitiko makubwa tunaungana na Mweka na Mweka Hazina wetu Dr.Temba kutangaza kifo cha Kaka yake mpenzi Mzee Flavian Temba kilichotokea ghafla usiku wa June 10,2015 katika Hospitali ya Mawenzi Moshi Kilimanjaro, Tanzania. Kama ilivyo desturi yetu wanajumuiya tuungane na Dr.Temba katika kumfariji Yeye na familia yote pamoja na kumuombea dua marehemu Mwenyeenzi Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi...Ameen. Dr.Temba 347-489-6532. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA. Uongozi
Tujitokeze leo nyumbani kwa Dr Temba kuanzia zaa kumi jioni kwa mwenye nafasi anakaribishwa kuungana na Watanzania wengine kumpa pole Dr Temba kwani leo marehemu ndiyo anapumzishwa kwenye nyumba ya milele. Address:
133-06 140th St, Jamaica. Ny 11436
NY Tanzania Community.
1 comment:
pole sana mr Temba,bwana ametoa na bwana ametwaa.
mungu akupe moyo wa kuvumilia katika wakati huu mgumu kwako na familia yako.pole sana.
mdau in mount Vernon,new york
Post a Comment