ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 25, 2015

TEMBA ENGINEERING WAMALIZA MRADI WA KUUNDA MASHINE YA KUKAUSHIA MATUNDA KWENYE SHAMBA LA UDC

Dr. Temba (kulia) akimsikiliza Mr. Franklin Moore kutoka USAID (kushoto) alipokuja kukagua mashine ya Dr. Temba ya kukaushia matunda mara tu baada ya Temba Engineering kumaliza kuiunda akisaidiwa na NY Ebra kwenye shamba la University of the District of Columbia lililopo Beltsville, Maryland.
Dr. Samuel Lakeou (wapili toka kushoto)ambaye yupo kitengo cha umeme na computer engineering akifafanua jambo kuhusiana na mashine ya Dr. Temba kwa Mr. Franklin Moore kulia ni Dr. Sagun Adebayo ambaye ni mwenyekiti kitengo cha machanical engineering UDC.


Dr. Temba akibofya kitufe cha kuwashia mashine yake ya kukaushia matunda.

Dr. Temba akimweleza Mr. William Hare (kulia) ambaye yupo kwenye kitengo cha kilimo UDC jinsi ya mashine ya kukaushia matunda inavyofanya kazi.

Dr. Temba akiwa na msaidizi wake NY Ebra wakipata picha huku wakifurahi baada ya mumaliza mradi wao wa kutengeneza mashine ya kukaushia matunda.

No comments: