SPIKA wa Bunge, Anne Makinda ameahirisha bunge baada ya kutokea mzozo kwa wabunge wa upinzani kusimama na kuomba mwongozo wakati Waziri wa Nishati na madini, George Simbachawene alipoanza kusoma kwa mara ya pili Muswada juu ya Petroli, 2015 (The Petroleum Act, 2015).
Baadhi ya wabunge wa upinzani walisimama kuomba mwongozo akiwemo, Tundu Lissu lakini hawakupewa nafasi ndipo wenzao nao waliposimama na kuanza kupaza asauti wakiomba mwongozo.
Spika aliahirisha bunge hilo huku akiwataja kwa majina baadhi ya wabunge wanaodaiwa kuanzisha fujo bungeni. GPL
2 comments:
Hakuna haja kwa sheria itakayo tumika katika mafuta na gesi kukimbizwa ili ipitishwe for a less than a week.
No rush, investors should wait, we can rush in a fear of losing investors.
I can grantees you when I comes to oil and gas industry investors is not a problem.
Let us not repeat the same mistakes we did in mineral industry.
NO RUSH.
No rush.
Post a Comment