Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe Dk Ali Mohamed
Shein akihutubia wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm 2015 huko Dodoma wakati
akikubali ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi
mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015
No comments:
Post a Comment