ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 4, 2015

IBADA YA KUMWOMBEA MAREHEMU SABINA ITAMBIKO TOKYO NCHINI JAPAN

Mmoja ya ndugu ya marehemu akitoa neno la shukurani kwa niaba ya wanafamilia kwenye ibada ya kimwombea marehemu Sabina Itambiko aliyekua akiishi nchini Japan na kupata mauti nchini Tanzania July 17, 2015.
 Watanzania nchini Japan wakijumuika pamoja katika ibada ya kumwombea marehemu Sabina Itambiko aliyekua akiishi nchini Japan na kupata mauti nchini Tanzania July 17, 2015.
Picha zote na Mariam, mwakilishi wa Vijimabo Japan
 Kwa picha zaidi bofya soma zaidi


No comments: