Wednesday, August 19, 2015

MAGUFULI ASAINI HATI YA KIAPO YA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAKAMA KUU JIJINI DAR LEO.

3 comments:

Anonymous said...

Kama kuna losa kubwa lililofanyika kwenye upembuzi pale Dodoma. Basi kubwa ni hilinla mgombea Mwenza. Mhe. Rais anaelewa kabisa alikoipeleka nchi hii hadi anapoondoka madarakani na kwa namna yeyote iwayo hii serikali ijayo inahitaji kiongozi mkali na anayewajibika na kuwajibisha wazembe wala rushwa, kusimamia mapato ya taifa. Watu kifanya kazi ipasavyo sio lelemama zinazoendelea na matokeo yake kuendeleza rushwa. Maeneo.menhi sana ya kutengenezea sehemu za kupumzikia na viwanja zimepewa wenyewe!! Je mhombea mwenza atayaweza.

Anonymous said...

Mhe. Magufuli ukifanikiwa kwa kweli una kazi kubwa mbele yako! Je huko hazina umeshauliza kumebakia nini? Au na wewe utakuwa na safari lukuki? Hawa wala rushwa na wagawanaji wa ESCROW utawawezaah?

Anonymous said...

Hamna kitu hapa!