ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, August 18, 2015

RAIS KIKWETE NA WAZIRI MAGUFULI KATIKA MAZISHI YA DIWANI WA KATA YA YOMBO, BAGAMOYO, LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka mchanga kaburini huku Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akisubiri zamu yake wakati wa mazishi ya Marehemu Iddi Ubwa Mazongera
aliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani aliyefariki jana na kuzikwa leo kwenye makaburi ya Kichangani, Bagamoyo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli wakimfariji mjane wa Marehemu Iddi Ubwa Mazongera 
aliyekuwa Diwani wa Kata ya Yombo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani aliyefariki jana na kuzikwa leo kwenye makaburi ya Kichangani, Bagamoyo. Katikati ni Mama Salma Kikwete

PICHA NA IKULU

2 comments:

Anonymous said...

Hii kali Promo mpaka vilioni?

Anonymous said...

KIKWETE AKIMWWACHIA MAGUFULI NAE ATAONDOKA CCM KWENDA UKAWA! Haamini kwamba amepita kinyanganyiro hicho cha July 11-12