ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 13, 2015

SALMA MOSHI AZIDI KUTESA DAR AKUTANA NA MHE. ASHA-ROSE MIGIRO

Katibu muenezi na Itikadi wa CCM DMV Salma Moshi aka Salma Manyoka akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Sheria na Katiba Mhe. Asha-Rose Mtengeti Migiro siku ya Jumamosi September 12, 2015 siku Salma Moshi alipotembelea Wizara ya Sheria na Katiba.

5 comments:

Anonymous said...

Kukutana na mh.asha migiro ndiyo anatesa nini amefanya mazungumzo gani ni kupiga picha na mh.basi tunataka changamoto ya maendeleo,au siyo jamani

Anonymous said...

Sasa unatuandikia anatesa ni kitu gani ametesa! Tukiwa hukonughaibuni hatujitahidi kuyaangalia yale muhimu yanayowahusu mwangojea kuja bongo kutafuta umaarufu mitandaoni. Katiba hamkuichangizia vya kutosha na hata Rais aliwaambieni mnalongolongo. Leo hii kumfuata mh. Rose bado haina maana kuna jambo umelipeleka la kuwasaida wana Diaspora!. Au ukijani unamtuma mtu kwani tunaona kwa shati ya kijani! Duuh. Wana DMV na Diaspora kwa ujumla changamkeni kuandaa yale yanayowagusa kwa viongozi wetu wetu na hasa wajapo huko ughaibuni msibweteke!!!

Anonymous said...

Heri NESI WANGU anaetoa uchunguzi wa afya na masomo kwa wa hitaji. Kutembelea bongo kwa kuzindua MAKATASI yaliyosotewa miaka mingi ni kipofu kuona Mwezi. Nendeni bongo mkiwa mmebeba MAFURSA kibawo kwa wananchi. Mafoto na wakubwa hayana tija. CCM hoyeeeeeee! @@@@@@@

Anonymous said...

Si lazima mjue kwamba ana makaratasi,nyie vepeeee!!!!

Anonymous said...


Hakuna kitu kizuri kama elimu. Wana CCM DMV wamejaa umbumbu sana. Hawana jipya ni kujionyesha na wakishindwa mwaka huu sijui watahamia wapi.