Sumaye aelezea kwa kina kuhusu sakata la kuuzwa kwa nyumba za serikali!
6 comments:
Anonymous
said...
Hii ni siasa ya aina gani inaletwa tena hapa yaani kitu cha miaka nenda kinaletwa hapa au kwenye mitandao ili waTanzania tuelewe nini. Mnona hatubadiliki na ninyi waandiahi acheni kupotosha. Kwani si zilishauzwa zimeuzwa jana au juzi???
Then waambie Chadema na UKAWA waache kusema Magufuli aliuza nyumba za serikali kwa bei ya kutupa wakati ukweli wanajua haukuwa uwamuzi wake binafsi na sababu ndio hiyo Mkapa alitaka raiya wakawaida ndio wamiliki!!!!

huyo Sumaye amesahau alovyowaua watu???
hapa ni Kazi tuu
ccm mbele kwa mbele
Sasa hamtaki kujibiwa na uzuri mwenye majibu ni Mkawa mwenzenu
Sasa RAIA gani wa kawaida alimiliki? Unaweza kumtaja?
Post a Comment