ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, November 19, 2015

Jengo la Ofisi ya Manispaa Zanzibar Lakamilika Ujenzi wa Ukarabati Wake.

Jengo la Afisi ya Baraza la Manisppa Zanzibar likiwa katika hali nzuri baada ya kufasnyiwa ukarabati mkubwa wa jengo hilo lilioko katika Mji Mkongwe wa Zanzibar na tayari limeaza kutowa huduma zake baada ya ujenzi wake kama linavyoonekana pichani leo asubuhi likiwa katika harakati hizo.

No comments: