Seif Sharif kama angelikuwa anaakili angalau robo ya huyu jamaa basi Zanzibar ingelikuwa sehemu moja bora sana ya kuishi. Vurugu, fujo, watu kuhasimiana , familia kusambaratika kwa sababu ya siasa, marafiki kuhatilifiana , umasikini, watu kuuwana, kutuliana tindi kali. Zanzibar kukatiwa misaada, uamsho , ndoa kuvunjika, kadhalika na kadhalika matatizo na fitna zote chanzo na asili yake ni Seif, nini lazima awe raisi potea mbali wanzanzibar wakifa, wakipoteza mali zao, lakini yeye lazima awe raisi. Na kwa bahati mbaya baadhi ya wanzanzibar wanajiona ni watu smart kwa kumsapoti Seif lakini ukweli ni wajinga kuliko wapumbavu. Maalim Seif si mtu wa kumuamini hata kidogo. Mfano mdogo ni huu hapa. Wakati Mzee Aboud jumbe alipokuwa raisi wa Zanzibar alianzisha harakati kuhakikisha Zanzibar inakuwa huru zaidi kutoka katika masuala ya muungano na kwa kushirikiana na baadhi ya MBM kwa kiasi fulani Jumbe alisha fanikiwa kwa bahati mbaya kuna mtu alikuwa anaitwa Seif Sharif Hamadi yeye vile vile alikuwa kiongozi katika serikali ya muheshimiwa jumbe. Huyu jamaa haikujulikana dodoma alifika fika vipi kutokana na kasi ya uharaka wake kuwasilisha malalamiko yake kwa viongozi wa serikali ya muungano inasemekana aliwakilisha malalamiko kwa staili ya kulia kwamba Jumbe anataka kuvunja muungano. Na kwa bahati mbaya sana muheshimiwa Aboud Jumbe aliamriwa ajiuzulu na wale wana mapinduzi wengine waliokuwa wakitaka kuhakikisha Zanzibar inakuwa huru zaidi kutoka katika muungano wakabambikiwa kesi za uhaini wakafungwa, wengine wakaambiwa wajiuzulu maskini kutokana na pressure na misongo ya mawazo wale waheshimiwa hawakukaa sana wengine wakafariki lakini tukirudi nyuma ya mada yetu nani aliesababisha hayo yote ni Seif kwa unafiki wa kuwa eti anauchungu wa muungano. Sasa leo hii kageuka yeye sasa kawa kinara wa kutaka kuvunja muungano. Tena kwa kuwadanganya wanzanzibar kuwa Zanzibar ikivunja muungano mambo yatakuwa poa kabisa. Na wanzanzibar wengi wanakubaliana na mawazo yake yaliopitwa na wakati yakwamba Zanzibar itanemeeka na nchi za kiarabu pindi tu ikuvunja muungano. Yaani kuna wengine wajiita mashehe kabisa, lakini wanasahau yakwamba katika mafundisho ya dini mtume Muhammad(SAW) ndugu zake mwenyewe walimkataa. Sasa mtu kweli amkatae ndugu yake wa damu aje kukujali wewe na hata ukimuona mtu anamjali mtu wa mbali anamwaacha wa kwake wa damu basi huyo mtu anamatatzo. Warabu kama kweli wanzanzibar wanandoto ya kunemeeka na nchi za kiarabu baada ya kuvunja muungano basi tutizame wasiria wanavyoteseka kiukimbizi katika nchi ambazo hakika muislamu kuishi kama muislam ni vigumu mno. Sasa kwanini wafike kule wakati ndugu zao wa kiarabu wanautajiri hata vya kuufanya hawajui. Sio Suria tu,yemeni maskini sana maisha ya ziki, iraq wanateseka, Libya wanateseka. Elitrea ni waarabu na baada ya kuona waisiopia labda wanawabania kupata neema kutoka kwa ndugu zao wa kiarabu wakaamua kujitenga kutoka Ethiopia mh Eritrea ya leo ni maafa hali duni wamebaki kufadhaika . Ni mifano michache kuonyesha ya kwamba baadhi ya wanasiasa watu wasipo kaa chini na kutafakari basi jamii itaendelea kuteseka. Kwa kumalizia CUF ikishinda uraisi Zanzibar sera ya kwanza ni kuvunja muungano na kama hilo likitokea yani la muungano kuvunjika basi kwa asilimia 85 % na muungano kati ya pemba na Unguja utavunjika hilo halina shaka unguja itakuwa salama ikidumisha muungano na bara kuliko na pemba. Kumbuka waunguja walilazimishwa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa walikuwa hawataki na sababu hasa waunguja wenyewe wanajua kwanini ila msema kweli kipenzi wa kuna waunguja wanafurahia kuvunjika kwa muungano kwa sababu wanajua nini kitatokea baada ya huo muungano kuvunjika.
Huyu jamaa ni kichwa zaidi ya mropokaji Maalim Seifu, ningependa wazanzibar wamchague huyu jamaa.
ReplyDeleteSeif Sharif kama angelikuwa anaakili angalau robo ya huyu jamaa basi Zanzibar ingelikuwa sehemu moja bora sana ya kuishi. Vurugu, fujo, watu kuhasimiana , familia kusambaratika kwa sababu ya siasa, marafiki kuhatilifiana , umasikini, watu kuuwana, kutuliana tindi kali. Zanzibar kukatiwa misaada, uamsho , ndoa kuvunjika, kadhalika na kadhalika matatizo na fitna zote chanzo na asili yake ni Seif, nini lazima awe raisi potea mbali wanzanzibar wakifa, wakipoteza mali zao, lakini yeye lazima awe raisi. Na kwa bahati mbaya baadhi ya wanzanzibar wanajiona ni watu smart kwa kumsapoti Seif lakini ukweli ni wajinga kuliko wapumbavu. Maalim Seif si mtu wa kumuamini hata kidogo. Mfano mdogo ni huu hapa. Wakati Mzee Aboud jumbe alipokuwa raisi wa Zanzibar alianzisha harakati kuhakikisha Zanzibar inakuwa huru zaidi kutoka katika masuala ya muungano na kwa kushirikiana na baadhi ya MBM kwa kiasi fulani Jumbe alisha fanikiwa kwa bahati mbaya kuna mtu alikuwa anaitwa Seif Sharif Hamadi yeye vile vile alikuwa kiongozi katika serikali ya muheshimiwa jumbe. Huyu jamaa haikujulikana dodoma alifika fika vipi kutokana na kasi ya uharaka wake kuwasilisha malalamiko yake kwa viongozi wa serikali ya muungano inasemekana aliwakilisha malalamiko kwa staili ya kulia kwamba Jumbe anataka kuvunja muungano. Na kwa bahati mbaya sana muheshimiwa Aboud Jumbe aliamriwa ajiuzulu na wale wana mapinduzi wengine waliokuwa wakitaka kuhakikisha Zanzibar inakuwa huru zaidi kutoka katika muungano wakabambikiwa kesi za uhaini wakafungwa, wengine wakaambiwa wajiuzulu maskini kutokana na pressure na misongo ya mawazo wale waheshimiwa hawakukaa sana wengine wakafariki lakini tukirudi nyuma ya mada yetu nani aliesababisha hayo yote ni Seif kwa unafiki wa kuwa eti anauchungu wa muungano. Sasa leo hii kageuka yeye sasa kawa kinara wa kutaka kuvunja muungano. Tena kwa kuwadanganya wanzanzibar kuwa Zanzibar ikivunja muungano mambo yatakuwa poa kabisa. Na wanzanzibar wengi wanakubaliana na mawazo yake yaliopitwa na wakati yakwamba Zanzibar itanemeeka na nchi za kiarabu pindi tu ikuvunja muungano. Yaani kuna wengine wajiita mashehe kabisa, lakini wanasahau yakwamba katika mafundisho ya dini mtume Muhammad(SAW) ndugu zake mwenyewe walimkataa. Sasa mtu kweli amkatae ndugu yake wa damu aje kukujali wewe na hata ukimuona mtu anamjali mtu wa mbali anamwaacha wa kwake wa damu basi huyo mtu anamatatzo. Warabu kama kweli wanzanzibar wanandoto ya kunemeeka na nchi za kiarabu baada ya kuvunja muungano basi tutizame wasiria wanavyoteseka kiukimbizi katika nchi ambazo hakika muislamu kuishi kama muislam ni vigumu mno. Sasa kwanini wafike kule wakati ndugu zao wa kiarabu wanautajiri hata vya kuufanya hawajui. Sio Suria tu,yemeni maskini sana maisha ya ziki, iraq wanateseka, Libya wanateseka. Elitrea ni waarabu na baada ya kuona waisiopia labda wanawabania kupata neema kutoka kwa ndugu zao wa kiarabu wakaamua kujitenga kutoka Ethiopia mh Eritrea ya leo ni maafa hali duni wamebaki kufadhaika . Ni mifano michache kuonyesha ya kwamba baadhi ya wanasiasa watu wasipo kaa chini na kutafakari basi jamii itaendelea kuteseka. Kwa kumalizia CUF ikishinda uraisi Zanzibar sera ya kwanza ni kuvunja muungano na kama hilo likitokea yani la muungano kuvunjika basi kwa asilimia 85 % na muungano kati ya pemba na Unguja utavunjika hilo halina shaka unguja itakuwa salama ikidumisha muungano na bara kuliko na pemba. Kumbuka waunguja walilazimishwa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa walikuwa hawataki na sababu hasa waunguja wenyewe wanajua kwanini ila msema kweli kipenzi wa kuna waunguja wanafurahia kuvunjika kwa muungano kwa sababu wanajua nini kitatokea baada ya huo muungano kuvunjika.
ReplyDelete