Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali.
Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
- Katibu
Mkuu Kiongozi
Balozi - Ombeni
Sefue
- Katibu
Mkuu Ikulu
Peter Ilomo
- Ofisi
ya Rais, Utumishi na Utawala Bora
Dkt. Laurian
Ndumbaro
- Ofisi
ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhandisi Mussa
Iyombe (Katibu Mkuu)
Dkt. Deo Mtasiwa (Naibu Katibu Mkuu - Afya)
Bernard Makali
(Naibu Katibu Mkuu - Elimu)
- Ofisi
ya Makamu wa Rais
Mbaraka
A. Wakili ( Katibu Mkuu)
Mhandisi
Ngosi Mwihava (Naibu Katibu Mkuu)
- Ofisi
ya Waziri Mkuu (Bunge, Sera, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu)
Erick Shitindi
(Katibu Mkuu Kazi na Ajira)
Mussa Uledi
(Katibu Mkuu Bunge)
Dkt. Hamis
Mwinyimvua (Katibu Mkuu - Sera)
- Wizara
ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Dkt. Frolence
Turuka (Katibu Mkuu - Kilimo)
Dkt. Mashingo
(Katibu Mkuu Mifugo)
Dkt. Budeba
(Katibu Mkuu - Uvuvi)
- Wizara
ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Mhandisi Joseph.
Nyamuhanga (Katibu Mkuu - Ujenzi)
Dkt. Leonard M.
Chamuliho (Katibu Mkuu - Uchukuzi)
Profesa Faustine
R. Kamuzora (Katibu Mkuu - Mawasiliano)
Mary Sassabo
(Naibu Katibu Mkuu Mawasiliano)
- Wizara
ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Dkt. Yamungu
Kayandabira (Katibu Mkuu)
Dkt. Moses
Kusiluka (Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara
ya Maliasili na Utalii
Meja Jenerali Gaudence
S. Milanzi (Katibu Mkuu)
Anjelina Madete
(Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara
ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Dkt. Adelhem James
Meru (Katibu Mkuu - Viwanda)
Profesa Adolf F.
Mkenda (Katibu Mkuu - Biashara na Uwekezaji)
Mhandisi Joel
Malongo (Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara
ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi.
Maimuna Tarishi
(Katibu Mkuu)
Profesa Simon S.
Msanjila (Naibu Katibu Mkuu)
Dkt. Leonard
Akwilapo (Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara
ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Dkt. Mpoki
Ulisubisya (Katibu Mkuu - Afya)
Sihaba Nkinga
(Katibu Mkuu - Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto)
- Wizara
ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo
Profesa Elisante
Ole Gabriel Mollel (Katibu Mkuu)
Nuru Halfan Mrisho
(Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara
ya Maji na Umwagiliaji
Mhandisi Mbogo
Futakamba (Katibu Mkuu)
Mhandisi Kalobero
Emmanuel (Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara
ya Nishati na Madini
Profesa Justus W.
Ntalikwa (Katibu Mkuu)
Profesa James
Epifani Mdoe (Naibu Katibu Mkuu)
Dkt. Paulina
Pallangyo (Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara
ya Katiba na Sheria
Profesa Sifuni
Mchome (Katibu Mkuu)
Suzan Paul Mlawi
(Naibu Katibu Mkuu)
Amon Mpanju (Naibu
Katibu Mkuu)
- Wizara
ya Mambo ya Ndani
Jaji Meja Jenerali
Projest A. Rwegasira (Katibu Mkuu)
Balozi Hassan
Simba Yahaya (Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara
ya Fedha na Mipango
Dkt. Silvacius
Likwelile (Katibu Mkuu)
Dorothy Mwanyika
(Naibu Katibu Mkuu)
James Dotto (Naibu
Katibu Mkuu)
Amina Hamis Shaban
(Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara
ya Mambo ya Nje, Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa
Dkt. Aziz Mlima
(Katibu Mkuu)
Balozi Ramadhan
Muombwa Mwinyi ( Naibu Katibu Mkuu)
- Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
- Job D. Masima (Katibu Mkuu
- Immaculate Peter Ngwale (Naibu Katibu Mkuu
Makatibu
wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wote ambao hawajatajwa katika orodha hii
watapangiwa kazi nyingine.
Katika
hatua nyingine Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
amemteua Bw. Eliakimu Maswi kuwa Kaimu Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA) na ametengua uteuzi wa Naibu Kamishina wa Mamlaka ya Mapato
Tanzania Bw. Lusekelo Mwaseba, ambaye atapangiwa kazi nyingine
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU
30 Desemba, 2015
1 comment:
Safi sana, binafsi nimependa mabadiliko makubwa kwenye Wizara ya Mambo ya Nje. Tunakuomba Mheshimiwa Rais JPM, next step fagia balozi zetu overseas kwani, kazi zinatolewa kwa undugu na connections instead of qualifications.
Post a Comment