Friday, January 8, 2016

ANT LATIFA MASASI HATOA HUDUMA ZA AFYA KWA WATOTO YATIMA

Muhudumu wa Afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo wilaya ta Temeke Bi, Latifa Masasi kushoto akichukuwa vipimo vya damu ya mtoto Raban Mansur wakati alipotembelea kituo cha watoto yatima cha Darul-Arqam Childrens Home kilichopo tandika magorofani kwa ajili ya kuwapima afya watoto wanao lelewa katika kituo hicho
Muhudumu wa Afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo wilaya ta Temeke Bi, Latifa Masasi kushoto akichukuwa vipimo vya damu kwa mtoto Abdulatif Said kwa ajili ya kujua afya yake kushoto ni Hamis Rajabu 
wakati alipotembelea kituo cha watoto yatima cha Darul-Arqam Childrens Home kilichopo tandika magorofani kwa ajili ya kuwapima afya watoto wanao lelewa katika kituo hicho
Muhudumu wa Afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo wilaya ta Temeke Bi, Latifa Masasi kushoto akichukuwa vipimo
Muhudumu wa Afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo wilaya ta Temeke Bi, Latifa Masasi kushoto akichukuwa vipimo vya damu kwa mtoto Aman Ramadhani kwa ajili ya vipimo 
wakati alipotembelea kituo cha watoto yatima cha Darul-Arqam Childrens Home kilichopo tandika magorofani kwa ajili ya kuwapima afya watoto wanao lelewa katika kituo hicho

No comments: