Friday, January 1, 2016

RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI MUADHAMA KADINALI POLYCARP PENGO ANAYEFANYIWA UCHUNGUZI WA AFYA YAKE MUHIMBILI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Askofu 
Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili 
leo January 1, 2016. Kardinali Pengo alilazwa hospitalini hapo jana jioni kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa afya yake.

PICHA NA IKULU

1 comment:

Anonymous said...

Mwadhama Kardinali Pengo anafanana na Mh. Juma Kapuya!