ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, April 16, 2016

BONDIA VICENT MBILINYI AENDELEA KUJIFUA CHINI YA KOCHA WAKE SUPER D

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu yhamila 'Super D ' Kushoto akimfundisha bondia Vicent Mbilinyi jins ya kupiga ngumi za mkunjo wa chini 'Upcut' wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika uwanja wa basketi Shule ya Uhuru wasichana 'Uhuru GYM' 
Bondia Aloyce Kakinda kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea Uhuru GYM kariakoo Dar es salaam 
VICENT MBILINYI
Bondia Aloyce Kakinda kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi yao yanayoendelea Uhuru GYM kariakoo Dar es salaam

No comments: