Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa kuingia kwenye ukumbi wa Lancaster House, London nchini Uingereza kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi kuhusu mapambano dhidi ya rushwa, May 12, 2016. Majaliwa alimwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika mazungumzo rasmi ya Wakuu wa Nchi katika Mkutano unaojadili mapambano dhidi ya rushwa kwenye ukumbi wa Lancaster House, London, nchini Uingereza May 12, 2016. Wa tatu kushoto ni Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron. Majaliwa alimwakilisha Rais John Magufuli katika mkutano huo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
1 comment:
wamekwenda kuwaomba wawape pesa wasiwanyime.kweli kutawaliwa kubaya bado bara la Africa tuna safari ndefu ya kujikomboa na kuwa huru na nchi yetu ya waafrica.
Post a Comment