ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 4, 2016

RAIS MAGUFULI AMTEUA DKT. ASHA-ROSE MIGIRO KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA

Dkt. Asha-Rose Migiro Balozi mpya wa Tanzania nchini Uingereza

14 comments:

Anonymous said...

Hongera mheshimiwa Rose kwa kuteuliwa. ila tu yale yaliyokushinda umoja wa mataifa New York yasije yakajirudia kwani hapa ni zawadi ya asante pia kwa kuw ammoja wa wagombea hivyo macho juu!!

Anonymous said...

She had some performance issues at UN - it is a very sad story for those who know it. she is tough to even be still working I thought she was back teaching.

Anonymous said...

After London then definitely retirement. Govts know how to get rid of dead wood.

Anonymous said...

My sister Asha mimi sina la kusema maana sielewi hii kazi mpya waliyokupa.

Anonymous said...

Why do we as a people always feel obliged to drag our own down? She had performance issues? Really? The last time I checked she was the longest serving Official In the rank of the Deputy Secretary-General. Why is this lost in the minds of those who should know better?

My advise to Hon Migiro and others in similar high profile offices is please keep doing what u do better. None of us can claim perfection. May the Good Lord bless u as you take on your new responsibilities in the interest of our country and people. Congratulations!

Anonymous said...

Ama kweli kuna wenzetu hawawezi kuona chochote kile kizuri kwa mtu mwingine isipokuwa wao wenyewe. Haya mengine yangesemwa na majirani zetu ningeelewa. Ya Bongo na Wabongo, ajabu kweli. Hongera Mama Migiro na karibu sana London.

Anonymous said...

Huyu mama simpendi hovyo kabisa why asipumzike tuu ...alitakiwa apumzike kwanza ana roho mbayaa apendi kusaidia mtu ihope utabadilika maana london tutaandamana uondoke

Anonymous said...

Humpendi kwa kuwa hakusaidii? Ajabu kweli kweli! Hii tabia ya omba omba imetawala akili za watu wengi, sio wa mitaani tu. Kwanini akusaidie? Mpime mtu kwa kufanikisha malengo ya kazi zake na sio anavyokusaidia kama Shangazi yako.

Anonymous said...

To be honest she is one of the finest woman Africa and the world can deliver into leadership and tanzanians should be proud of her .

Anonymous said...

Thanks President Magufuli for recognizing our talents. She is truly latented, modest, humble, unassuming and intelligent. Wasiotambua hili ama kulipuuza wanaonyesha tu ngazi yao wenyewe ya intellect na uwezo wao kuappreciate accomplishments za watu wengine. Hongera Mhe. Migiro.

Anonymous said...

Huyo wa kuandamana kweli hana maisha ama kazi. Binadamu wengine ni ghosts! Wanaoishi tu bila malengo ya maisha. Natafakari na siyaoni mazingira nitakayoacha kazi yangu kwenda kuandama dhidi ya mteule wa Rais ambaye hata kazi yake hajaanza kuifanya? Ama kweli tumeumbwa tofauti. Wengine hata kuwaita binadamu pengine si sahihi!

Anonymous said...

Hongera sana Dr Migiro. Huyo sister wako hapo juu anayedai hiyo kazi yako mpya haielewi siamini hata maisha yake mwenyewe anayaelewa! Wewe nenda ukafanye yakwako. Wengi wenye busara wanaielewa. Aidha huyo omba omba anayedai atajitokeza kuandama kwa ajili ya msaada pia ni miongoni wasioelewa kazi yako: sio kusaidia omba omba. Nakubaliana na commentator aliyefahamisha wangapi wametumikia kwa muda gani huko Umoja wa Mataifa. We are proud ya job yako huko. Hongera sana Mama yetu. Mungu akubariki sana.

Anonymous said...

Leave the Hon Ambassador alone. She is good na wote tumpatie support. Akifanikiwa ni mafanikio ya nchi yetu.

Anonymous said...

Dead wood by Dead meat! Wengine tungejipima kabla ya kuropoka. Huyu Mama ametumika with distinction kama Waziri ktk Wizara tofauti chini ya Marais Mkapa na Kikwete. Amesave Chama na Umoja wa Mataifa. She has raised a good family from what I am told. Yet mtu anadiriki kumwiita deadwood? Huyo mtu hajifahamu. Yeye ndo dead eat!