Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (Mb) (wa pili kulia) akiwa pamoja na Wasanii wa kizazi kipya ambao walitembelea Bunge mjini Dodoma akiwemo Msanii Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platinumz pamoja na Mafikozolo 12 Mei, 2016.
Wasanii wa kizazi kipya, Nasib Abdul (Diamond Platinumz) (wa tatu kushoto) pamoja na Mafikizolo wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Mbunge Dodoma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Babu Tale (katikati). Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mhe. January Makamba Bungeni Dodoma.
Mhe. Nape Nnauye (wa pili kulia) pamoja na Mhe. January Makamba (wa pili kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Wasanii Nasib Abdul (Diamond Platinumz) (katikati) pamoja na Mafikizolo Bungeni mjini Dodoma.
Mhe. Nape Nnauye (kushoto) pamoja na Mhe. January Makamba (kulia) na Mbunge mwingine (mwenye suti nyekundu) wakiwa katika picha ya pamoja na Wasanii Nasib Abdul (Diamond Platinumz) (katikati) pamoja na Mafikizolo Bungeni mjini Dodoma. (Picha zote na Benedict Liwenga, Dodoma)
1 comment:
Safi sana kaka Diamond,
Post a Comment