ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 2, 2016

MAKAMO MWENYEKITI WA CCM AZUNGUMZA NA VIONGOZI WILAYA YA DIMANI MKOA WA MJINI MAGHARIBI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa CCM Mkoa Amani leo katika mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya Dimani CCM kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wanachama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Dimani leo wakati alipowasilli katika viwanja vya CCM Mkoa Amani wakati alipohudhuria katika mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya Dimani CCM uliofanyika leo kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu.
Wanachama Viongozi wa Wilaya ya Dimani CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza katika mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya Dimani CCM uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani, kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,
Wanachama Viongozi wa Wilaya ya Dimani CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza katika mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya Dimani CCM uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani, kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu.
Wanachama Viongozi wa Wilaya ya Dimani CCM wakinyoosha mikono juu kuunga mkono hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza katika mkutano wa Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya hiyo uliofanyika leo katika ukumbi CCM Mkoa Amani,kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi wa CCM wakiwemo Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya Dimani CCM uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani, kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na Viongozi wa CCM wakiwemo Mabalozi,Wenyeviti wa Matawi,Makatibu na Maskani za CCM wa Wilaya ya Dimani CCM uliofanyika leo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani, kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa ushindi uliopatikana katika Uchaguzi wa marudio uliofanyika mwezi machi mwaka huu,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.(Picha na Ikulu)

1 comment:

Anonymous said...

Watu wanajiamulia tu kuandika makamo instead of makamu halafu tunalalamika wakenya wakitupiga bao google and microsoft. kweli aliyetuloga kafa mpaka kwenye kuandika tutumbuliwe jamani? na Kiswahili ni chetu wenyewe Kha! Where is BAKITA au nako kunahitaji kutumbuliwa I am sick of this!!! FYI Makamo means umri/rika/ age class na Makamu ni msaidizi au vice/ deputy