ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 2, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATETA NA KAMISHINA WA TRA.

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (katikati) na Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). 

No comments: