ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, June 15, 2016

MATUKIO KIBAO YA BUNGENI DODOMA

Mbunge wa Viti Maalumu, Bupe Mwakang'ata (CCM), Mkoa wa Rukwa, akiuliza swali kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi) bungeni Dodoma LEO, kwamba serikali ina mkakati gani wa kusimamia fedha asilimia 10 zinazotolewa na Halmashauri kwa ajili ya maendeleo vijana na wanawake.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson akiongoza kikao cha Bunge cha majadiliano ya Bajeti ya Serikali bungeni Dodoma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiswali la ni lini ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Nyamagana Mwanza utamalizika. Swali hilo lililulizwa na Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula
Mbunge wa Kalenga, Godfrey Mgimwa akiuliza swali bungeni
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Makame Mabrawa akijibu maswali ya wabunge.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Edwin Ngonyani akijibu maswali ya wabunge
Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Zungu akiuliza swali bungeni
Wageni waalikwa wakiwa bungeni dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mbunge Bwanausi wa Lulindi
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Yusufu Hamad Masauni bungeni
Familia ya Mbunge wa Mafinga Cosato Chumi ikiwa bungeni Dodoma huku ikifuatilia mwenendo wa Bunge
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St Marys Duluti ya Arusha wakiwa bungeni kufuatilia menendo wa Bunge hilo
Mbunge wa Viti Maalum, Jasmine Tisekwa akichangia mjadala wa serikali
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya St. Mary's Duluti ya Arusha waliotembelea Bunge, Dodoma
Wabunge wa upinzani wakaitoka bungeni kikao cha jioni kwa kutokuwa na imani na Naibu Spika
Mbunge wa Viti Maalum, Hawa Mchafu akichangia mjadala wa Bajeti ya Serikali bungeni
Mbunge wa Igarula, Mussa Ntimizi akichangia mjadala wa Bajeti ya Serikali bungeni
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kulia) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Karagwe kwenye viwanja vya Bunge
Andrew Chenge akiwa na Lucy Owenye wakiingia bungeni
Wabunge wakiingia bungeni
Wabunge wakitoka bungeni kwa ktokuwa na imani na Naibu Spika
Mbunge wa Viti Maalum, Mary Mwanjelwa (CCM) Mkoa wa Mbeaya,akichangia mjadala wa Serikali bungeni
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula (CCM), akiuliza swali kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo bungeni Dodoma jana, kwamba ni linserikali italisisitiza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kuhakikisha Uwanja wa Nyamagana unaotakiwa ujengwe kwa nyasi bandia unakamilika kwa wakati na kuendeleza malengo yaliyokusudiwa.

No comments: