ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 26, 2016

UWANJA WA GOMBANI PEMBA

Uwanja wa Gombani Pemba wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 40, 000 kwa sasa umemalizika kuwekewa tartan kama inavyoonekana katika picha. Tartan hiyo iliwekwa kwa msaada wa serikali ya China.
Timu ya Jamhuri ya Wete, Pemba.

No comments: