Mahojiano na msanii Prince Herry katika kipindi cha Swahili Hip Hop & Bongo Flava
Katika kipindi cha Swahili Hip Hop & Bongo Flava cha Aug 23, msanii Prince Herry aliweza kuitambulisha singo yake mpya.
Sikiliza mahojiano na mjadala kuhusu wimbo na tasnia nzima ya muziki wa kizazi kipya.
KARIBU
No comments:
Post a Comment