Familia ya Bi.Leah Nyakyi
inapenda kutoa shukurani za dhati kwa ndugu jamaa na marafiki kwa msaada wao wa
hali na mali wakati wa kipindi kigumu cha kundokewa na mama yao mpendwa Bi Judith Nyakyi, ambaye
aliaga dunia siku ya tarehe 23 mwezi wa sita mwaka huu wa 2016 huko Tanzania.shukrani
pia ziwafikie watu wote waliowezesha kufanyika kwa Misa takatifu ya kumkumbuka mama yao mpendwa iliyofanyika siku ya Jumapili 28, 2016 katika
kanisa la Mt. Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani
Bi Sima Kazaura akisoma neno katika misa takatifu ya kumbukumbu ya mama Judith Nyakyi
Ft.Patrick Maina (kushoto) na Ft. Mateo(kulia) wakiongoza ibada hiyo ya kumbukumbu
wanafamilia wakiwa wanafuatilia ibada hiyo ya kumbukumbu iliyofanyika jumapili ya tarehe 28 mwezi huu wa agosti 2016
Bi Khadija Mondwe,mwana familia akisoma wosia wa shangazi yake, marehemu mama Judith Nyakyi.
baadhi ya wana DMV wakifuatilia misa hio takatifu
katika picha Bi Leah Nyakyi akisimama pembeni ya picha ya marehemu mama yake,
Bi Leah na Wanawe(kushoto)Nicole na Michelle (kulia)
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment