Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe akishiriki
kutazama washiriki wa Ikungi Half Marathon 2016 walivyoanza mbio hizo katika
Kijiji Cha Kimbwi Kuelekea Uwanja wa Shule Ya Sekondari Ikungi pembeni yake ni
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu na Hassan Tati Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Ikungi
Wananchi wakifatilia kwa makini Ikungi Half Marathon katika
maeneo yao vijiji vyao
Washiriki wa Ikungi Half Marathon wakianza kukimbia Riadha
katika Kijiji cha Kimbwi
Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe, Mkuu wa
Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu na viongozi wa ngazi ya Chama cha
Mapinduzi CCM Wilaya ya Ikungi wakitazama namna wakimbiaji wanavyowasili katika
uwanja wa shule Ya Sekondari Ikungi
No comments:
Post a Comment