.wanafunzi wa Pugu sekondari wakishusha kwenye gari vifaa
vilivyokabidhiwa nabenki ya UBA kwa ajili ya wanafuzni wenye mahitaji
maalum
Mkurugenzi mkuu wa Benki ya UBA,Piter Makao akiwa meneja operesheni
Omary wakikabidhi mafuta ya ngozi kwa kijana mwenye ulemavu wa ngozi
,Daudi Nyangusi na Meneja ufadhili wa eleimu kutoka TEA , Tito Mganwa.
Mkurugenzi mkuu wa Benki ya UBA,Piter Makao akiwa meneja operesheni
Omary wakikabidhi vitabu kwa wanafunzi Salum Mohamed na Ramadhani Juma
pamoja na Meneja ufadhili wa eleimu kutoka TEA , Tito Mganwa.
Wafanyakazi waUnited Bank of Afrika wakiwa katika picha ya pamoja na
wanafunzi wenye ulemavu wa shule ya Sekondari ya wavulana pugu jijini
Dar es Salaam
afisa masoko wa UBA , Evance Chandarua akimkabidhi begi, Ramadahani Juma
Na Humphrey Shao,Globu ya Jamii
Benki ya
United Banko of Africa(UBA), leo imetoa viti Magodoro, Viti,Magongo ya
kutembelea na vitabu vya kujisomea kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu ya
shule ya sekondari ya wavulana Pugu jijini Dar es Salaam.
Akizungumza
wakati wa kutoa vifaa hivyo Meneja wa benki hiyo nchini ,Piter Makao, amesema
kuwa wamechagua kutoa vifaa hivyo katika shule hiyo kutokana na mahitaji ya
watoto hao ambao wamekuwa wakisoma katika mazingira magumu.
“Vitu hivi
ambavyo tumevitoa leo vitasaidia kwa kiasi kikubwa kuwapunguzia watoto hawa
wenye mahitaji maalum kusoma kwa mawazo kwa kujiona kwamba wao ni sehemu hii ya
shule kwa kupata mahitaji yao wote kama ilivyo kwa wengine”Amesema Makao
Ameto wito kwa wanafunzi hao kusoma kwa bidii hili
waweze kufanikiwa katika jamii na baada wajivunie kuwa walisoma pugu
wanafaunzi wenye ulemavu wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya bwalo la shulehiyo.
No comments:
Post a Comment