Mwenyekiti
wa Bunge, Mussa Azan Zugu akiongozwa na Mpambe wa Bunge kutoka baada
ya kuahirisha kikao cha Bunge ili kuomboleza Kifo cha Spika Mstaafu,
Samuel Sitta, mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Mwenyekiti
wa Bunge , Mussa Azzan Zungu akiahirisha kikao cha Bunge ili kuomboleza
Kifo cha Spika Mstaafu, Samuel Sitta, mjini Dodoma Novemba 7, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi, Mwigulu Nchemba kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakwaya wa Kwaya ya Zaburi
kutoka Usharika wa Ulemo KKKT Iramba kwenye viwanja vya bunge mjini
Dodoma Novemba 7, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Wabunge
wakizungumza baada ya bunge kuahirishwa mjini Dodoma Novemba 7, 2016
kufuatia kifo cha Spika Mstaafu,Samuel Sitta. Kutoka kushoto ni Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura,
Mbunge wa Viti Malum Felista Bura, Mbunge wa Viti Maalum, Shally Josepha
Raymond, Mbunge wa Musoma Mjini Mathayo Manyinyi, Mbunge wa Viti
Maalum, Munde Tambwe, Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Tekinolojia,
Mhandisi Stella Manyanya na Mbunge wa Busanda, Lolesia `Bukwimba. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mwanasheria
Mkuu wa Serikali, George Masaju akiteta na Mwanansheria Mkuu wa
Serikali Mstaafu na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (kulia)
kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakwaya wa Kwaya ya Zaburi kutoka Usharika wa Ulemo KKKT Iramba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya wa Kwaya ya Zaburi kutoka Usharika wa Ulemo KKKT Iramba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. Kushoto kwake ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Mary Mwanjelwa kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 7, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment