ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 16, 2016

Mahafali ya 14 ya Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) yafana, jijini Dar

Kikosi cha brasband cha Magereza kikiongoza Maandamao kuelekea uwanjani kwenye mahafali ya 14 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi ya Dar es salaam na Mtwara leo jijini Dar es Salaam.Walioko nyuma ni baadhi ya wahadhiri wa Taasisi ya  Uhasibu Tanzania (TIA). ( Picha na Geofrey Adroph)
Mgeni Rasmi Naibu Gavana wa Benki Kuu Dkt. Natu A. Mwamba(katikati) akiongoza maandamano ya mahafali ya 14 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi ya Dar es salaam na Mtwara leo jijini Dar es salaam. Wa kwanza kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania Dk. Joseph Kihanda.
Baadhi ya wahitimu wakiwa kwenye maandamano ya mahafali ya 14 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi ya Dar es salaam na Mtwara leo jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi Naibu Gavana wa Benki Kuu Dkt. Natu A. Mwamba akiingia kwenye viwanja vya chuo cha Uhasibu wakati wa mahafali ya 14 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi ya Dar es salaam na Mtwara leo jijini Dar es Salaam.
Ofisa Mtendaji Mkuu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania Dk. Joseph Kihanda akitoa taarifa fupi ya taasisi hiyo wakati wa mahafali ya 14 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi ya Dar es salaam na Mtwara leo jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi Naibu Gavana wa Benki Kuu Dkt. Natu A. Mwamba akisoma hotuba wakati wa mahafali ya 14 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi ya Dar es salaam na Mtwara leo jijini Dar es Salaam. Naibu Gavana wa Benki Kuu Dkt. Natu A. Mwamba amemwakilisha Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Mpango kwenye mahafali hayo.
Baadhi ya wahitimu wakicheza nyimbo mbalimbali mbele ya Mgeni Rasmi ambaye ni Mgeni Rasmi Naibu Gavana wa Benki Kuu Dkt. Natu A. Mwamba wakati wa mahafali ya 14 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi ya Dar es Salaam na Mtwara yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam.
Mgeni Rasmi Naibu Gavana wa Benki Kuu Dkt. Natu A. Mwamba akiwakabidhi zawadi baadhi ya wanachuo waliofanya vizuri katika masomo yao ya mbalimbali wakati mahafali ya 14 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi ya Dar es salaam na Mtwara yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam. Wa kwanza kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania Dk. Joseph Kihanda
Mgeni Rasmi Naibu Gavana wa Benki Kuu Dkt. Natu A. Mwamba akisoma tamko la kuwatunuku vyeti wahitimu wa mahafali ya 14 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi ya Dar es salaam na Mtwara leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wahitimu wakishangilia baada ya Mgeni Rasmi ambaye ni Mgeni Rasmi Naibu Gavana wa Benki Kuu Dkt. Natu A. Mwamba alipomaliza kutoa tamko la kuwatunuku vyeti wahitimu hao wakati wa mahafali ya 14 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi ya Dar es Salaam na Mtwara leo jijini Dar es salaam.


Baadhi ya wahitimu wakiwa kwenyea mahafali ya 14 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi ya Dar es Salaam na Mtwara yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam.

No comments: