ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, March 14, 2017

PITA PITA YA VIJIMAMBO WASHINGTON, DC

 Leo siku ya Jumanne Mach 14, 2017 kamera ya vijimambo ilipita mitaa ya Hyattsville kuelekea downtown Washington, DC kujionea hali halisi ya theluji iliyoikumba kaskazini mashariki ya Marekani mitaa ya Washington, DC theluji haikuanguka nyingi kama inavyoonekana kwenye picha.
 Mitaani Washington, DC inavyoonekana katika picha leo Jumanne March 14, 2017.
 Dc inavyoonekana mapema leo.

 Mitaa ya Hyattsville, Maryland mapema leo Jumanne March 14, 2017.

No comments: