ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 15, 2017

RAIS SHEIN AKUTANA NA MKUU WA MAJESHI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Jenerali Venance S. Mabeyo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania Jenerali Venance S. Mabeyo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais leo (Picha na Ikulu)

No comments: