ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, March 14, 2017

TUFANI YA THELUJI YAIKUMBA KASKAZINI MASHARIKI YA MAREKANI

Image result for storm hit northeast, mid atlantic images march 2017
Mji wa New York ulivyokua ukionekana kalbla ya theluji kuanza kuanguka.
Image result for storm hit northeast, mid atlantic images march 2017
Theluji iliyoanguka ikiondolewa.
Related image
Theluji imeikumba miji ya Mashariki ya kaskazini ya Atlantic ya kati iliyosababishwa na upepo mkali uliotokana na tufani ya Stella..
Image result for storm hit northeast, mid atlantic images march 2017

No comments: