Wadau mbalimbali marafiki wa Missy Temeke na mumewe wakijumika pamoja nyumbani kwa Missy T na mumewe katika futari ya pamoja siku ya Jumapili June 18, 2017 Silver Spring, Maryland.
Msabaha akipata ukodak moment na Missy T
Missy T na mashosti wake wakiwa katika picha ya pamoja.
Melisa na Tuma (kulia)
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment