ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 20, 2017

PICHA ZINGINE: TANZANIA DAY FESTIVAL 2017 ILIVYOFANA - DALLAS TEXAS.

Dallas Community Chairman Ben Kazora akizungumzia maadhimisho ya Tanzania day, umuhimu wa diaspora na challenges kwa wanadiaspora katika kipindi maalum cha the Mboni show ambacho hurushwa kwenye television ya taifa (TBC). Madhimisho ya Tanzania day ambayo yameandaliwa na watnzania washio mji Dallas Texas na kuwa recognized na meya wa mji wa mji huo, Ndugu Mike Rawlings, yamepangwa kufanyika kila mwaka kwa lengo la kuunganisha, kuimarisha Tanzanian DIASPORA wote duniani ili kupeleka maendeleo yatakayoesabika katika nchi ya Tanzania. Picha na matukio:


No comments: