Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo
akizungumzia maadhimisho ya miaka 53
tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo
Ngome jijini Dar es Salaam.

akiwa katika picha na Mkuu wa Jeshi la Ulinzi wa kwanza Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo
Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya (kushoto} pamoja na Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange (kulia) mara baada ya kuzungumza kuhusu kuhusu miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo
la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment