Sunday, September 3, 2017

WACHEZAJI WA KIKAPU WA PAZI, VIJANA, DON BOSCO NA COLUMBUS WAONYESHANA MAUJUZI


Timu ya Pazi Picha na Vijimambo Blog na Kwanza Production
 Timu ya Columbus

kushoto mwenye mpira ni Vitalis Gunda mchezaji wa zamani wa Pazi akimwonesha maujuzi mchezaji wa timu pinzani katika Bonanza la kiakpu lililofanyika Labor Day Columbus, Ohio siku ya Jumamosi Sept 2, 2017 katika kusherehekea Old School Reunion.

 Ujuzi juu ya maujuzi
Bonanza likiendelea 
Bonanza ni kali kweli kweli
Refa wa michezo huo Peter Kirigiti (mwenye mpira) akionga jambo na wasimamizi wa mchezo huo.
Watazamaji wakifuatilia mchezo



No comments: