ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 4, 2017

BIRTHDAY DINNER YA LOLO WA ATL GEORGIA PAMOJA NA MARAFIKI ZAKE ILIVYOFUNIKA SIKU YA WEEKEND NDANI YA SAGE RESTAURANT, DUNWOODY NA KUMALIKIA NYUMBANI KWAO ALPHARETTA, GA.

Cake was yummy
Lolo(birthday girl)

kwa picha kibao bofya soma zaidi


raha ya chakula muwe wengi
menuz





Jamila
Salama
Ka quiz (game) kalikuwa hot!



Queen akilishwa cake na Lolo

game time before dinner





Najat
Zawadi kibao


Nasra na Queen
sio sala ni game time
ndani ya Sage
 


Enekaz wa Atl
nje kabla ya dinner ni picha tu
smile

z






menuz






Appetizer









Zena akifurahi na Lolo


Tuma akifurahia jambo





 AFTER PARTY ILIHAMIA NYUMBANI KWAO (SUPRISE PARTY ILIANDALIWA NA MUMEWE (MOSES)




Kinywaji cha kutosha tu kwa kila mmoja 
DJ alikuwa Moses mwenyewe(Baba G)
opening dance 
Rose akitoa neno
Neema akitoa neno

Rachel akitoa neno


rahaaa











furahaaa

Karibuni wageni wangu




Lolo, Nasra, Jamila na Suzy

Hakuna kulala



Baba G(dj Mose) akitupa burudani
Ibi na Makala

Moses akiwa na mabest wake


Black attire ilinoga haswaaaaaa

2 comments:

Anonymous said...

SAFI SANA AKINA DADA WA ATLANTA. ILA NINA OMBI MOJA KUBWA SANA KWA WADAU WA ATLANTA. NI VYEMA VILE VILE MJIHUSISHE NA KUPOST MATUKIO MENGINE YENYE TIJA KWA JAMII YA KITANZANIA HAPO ATLANTA, HUKU UGHAIBUNI AU KULE NYUMBANI. KWA KIPINDI KIREFU NISOMAPO BLOGU HII KUHUSU CUMMUNITY YA ATLANTA NINACHOKIONA NI POSTS ZA KULA BATA (PARTIES), KUONYESHA MAVAZI (SWAGS), JINSI AKINA DADA WALIVYOJICHUBUA, n.k. MNAWEZA KWA MFANO KUTUONYESHA ACTIVITIES KAMA, HARAMBEE ZA KUSAIDIA SHULE, MAKANISA, MISIKITI AU ZAHANATI KULE VIJIJINI AMBAKO WENGI WETU TUMETOKA, AU VOLUNTEER ACTIVITIES HAPO MULIPO ATLANTA, i.e. SOME SORT OF POSITIVE CONTRIBUTIONS/ACTIVITIES. KUTOFANYA HIVYO NI SELF-DEFEATING, KWA SABABU WE FAIL TO TAKE ADVANTAGE OF OUR PRESENCE HERE IN THE U.S. AS A COMMUNITY, TO MAKE A DIFFERENCE IN TANZANIA. SAMAHANI WADAU, LENGO LANGU SIYO KUWAKEBEHI BALI NI MAONI TUU. NAWAVULIA KOFIA WADAU WA DMV. WAMEKUWA MFANO MZURI KWA WABONGO WENGI TULIOPO HAPA MAREKANI, KWANI LICHA YA WAO KULA BATA, MARA NYINGI WANAJIHUSISHA NA SHUGHULI AMBAZO ZINALETA TIJA SIYO HAPA MAREKANI TUU, BALI HATA KULE TULIKOTOKA i.e. NYUMBANI TANZANIA.

Anonymous said...

Good point lakini pia ina walakini. Kwanza, kutoa sio lazima useme hadharani, pili communities from state to state zimetofautiana ndo mana umeweza kuwasifu DMV, huwezi ku compare na Atl. Then, ni maamuzi tu ya mtu, watu au kikundi bila kushirikisha the entire community kwa kufanya wanachojisikia na huwezi kulazimisha what to post. Wakitaka kupost vitu vyenye tija it's ok wakitaka swags or fashion show it's up to them and don't make it as general. e.i kuna baadhi ya watt hawatoki kijijini kama unavyofikiria so can't see any difference na wengine hatawaki kubisa kujionyesha na kitu chochote kwenye maisha yao neither kula bata nor harambee. Ni bora kila mtu apambane na hali yake.