Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiangalia vitabu akiongozana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt. Mohammed Bin Hamad Al Rumhy kwenye maonyesho yaliopo ndani ya meli ya Mfalme wa Oman inayojulikana kwa jina la Fulk Al Salamah iliyotia nanga kwenye Bandari ya Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiangalia akionyeshwa ubani na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt. Mohammed Bin Hamad Al Rumhy alipotembelea maonyesho yaliopo ndani ya meli ya Mfalme wa Oman inayojulikana kwa jina la Fulk Al Salamah iliyotia nanga kwenye Bandari ya Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiangalia machapisho mbalimbali kulia ni Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt. Mohammed Bin Hamad Al Rumhy ambaye ameonoza ujumbe maalum uliokuja na meli ya Mfalme wa Oman inayojulikana kwa jina la Fulk Al Salamah iliyotia nanga kwenye Bandari ya Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Serikali ya Oman Dkt. Mohammed Bin Hamad Al Rumhy pamoja na ujumbe wake mara baada ya kutembelea meli ya Mfalme wa Oman inayojulikana kwa jina la Fulk Al Salamah iliyotia nanga kwenye Bandari ya Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment