ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 5, 2017

JITIRIRISHE NA TASWIRA YA BIRTHDAY YA MKUU WA WILAYA YA SPRINGFIELD BWANA KIBODYA.

Birthday ya Bwana Kibodya iliyofanyika Springfield. MA weekend mambo ya yalikuwa Mubashara hapa bwana Kibodya akiingia ukumbini. Birthday hiyo ilikongwa kwa live band kutoka kwa vijana machachali kabisa waliokonga mihoyo ya wageni waalikwa waliotoka sehemu mbalimbali. 
Hapa bwana Kibodya akiwa na mama mwenyenyumba wake na pembeni yake na bwana Hamza  Mwamoyo kutoka Washington DC.
Watoto na wajukuu wa Bwana Kibodya.

Mama mwenye nyumba akimlisha keki mzee mbele ya watoto na wajukuu. kwa picha zaidi nenda soma zaidi.

Mshereheshaji wa kimataifa kutoka New York, Gaston Mkapa akifanya yake ukumbuni hapo.

1 comment:

Unknown said...

Nice asante kwa picture