Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini, Mhe. Song Geum - Young alipomtembelea katika ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Desemba 2017.
Mazungumzo yao yalijikita katika kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia uliopo baina ya mataifa hayo, kuanzisha maeneo mapya ya ushirikiano sambamba na hali halisi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekeleza kwa ushirikiano baina ya Tanzania na Korea.
Mhe. Waziri Mahiga akielekezana jambo na Mhe. Song Geum-Young.
Mhe.Waziri Mahiga akiagana na Mhe Song Geum-Young.
No comments:
Post a Comment