Advertisements

Saturday, February 17, 2018

HAPPY BIRTHDAY ELINITA

Happy Birthday Empress wangu Elinita Kristine Mhando, nakutakia baraka tele na Mungu akujalie maisha marefu yaliojaa furaha na amani. Leo ni siku yako na namshukuru Mungu kwa kila jambo na hasa kuwa pamoja nawe waridi la moyo wangu. Ubarikiwe sana na wote pamoja na Rose na Simba tunakutakia the best Birthday!

No comments: