Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa katika kikao kazi na waumishi hao kwa lengo kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi hususani haki na wajibu wa mtumishi wa Umma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Bw. Ng’wilabu N. Ludigija akitoa neno la utangulizi kumkaribisha Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - UTUMISHI Dkt. Laurean Ndumbaro kuzungumza na watumishi wa Halmashauri hiyo masuala ya kiutumishi hususani haki na wajibu wa mtumishi wa Umma.
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) katika kikao kazi na waumishi hao chenye lengo kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akiwa katika mazungumzo ya kikazi na Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe Andrea. A. Tsere kabla ya kufanya kikao kazi na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.
No comments:
Post a Comment