Waumini katoliki tunaapenda kuwakaibisha kwenye ibada yetu ya mwezi June. Ibada hii itafanyika Mahali hapa.
Basilica of the National Shrine of Immaculate Conception,
Lower level
Address
400 Michigan Avenue, NE
Washington, D.C. 20017
Ibada itaanza asubuhi saa tano kamili (11:00) am.
Tunaombwa kujitahidi kushiriki kwa wingi ibada hii ambayo itajumuisha Jumuiya ya
Waumini wa Kenya.
Mjuulishe na mwenzako.
Kwa niaba ya Uongozi Na Padri Munishi nawasilisha.
Katibu
Tibruss Minja
No comments:
Post a Comment