Mandhari nzuri ya Virginia beach kama ilivyonaswa na kamera ya Vijimambo, mji huu wenye wakazi wapatao 437,994 ambao wazungu ni 296.670, wamarekani weusi ni 85,935, Latino 28,987 na asilimia nyingine ni watu wengine kutoka sehemu mbalimbali Duniani. Vijimambo Blog.
Mitaa inayopakana na ufukwe wa bahari
No comments:
Post a Comment