ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 29, 2018

WAZIRI LUGOLA AZINDUA WIKI YA ZIMAMOTO NA UOKOAJI KITAIFA JIJINI DODOMA.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola (Mb) akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Maadhimosho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji Kitaifa yaliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri, Jijini Dodoma.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, CGF Thobias Andengenye, akisoma hotuba ya kumkaribisha Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola (Mb), katika Uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji Kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola (Mb) akimsikiliza Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Raymond Mgaya, kutoka Kitengo cha Elimu kwa Umma katika Uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji Kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma.(Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola (Mb) akipokea salaam ya heshima (Guard of Honor), iliyoandaliwa na Maafisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji Kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola (Mb) akikagua Gwaride la heshima ililoandaliwa na Maafisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, wakati wa Uzinduzi wa Maadhimosho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji Kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma.

No comments: