Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi mbunge wa Bukene, Selemani
Zedi (kushoto) mifuko 50 ya saruji iliyotolewa na Mbunge wa Viti Maalum
mkoa wa Tabora kupitia CCM, Munde Tambwe (wapili kushoto ) baada ya
kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Taifa wa Bukene wilayani
Nzega Agosti 17, 2018 saruji hiyo imetolewa kwa jimbo la Bukene ili
isaidie katika ujenzi wa miundombinu ya huduma za jamii jimboni humo.
Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya wananchi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa Taifa wa Bukene wilayani Nzega, Agosti 17, 2018. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment