Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akishuhudia zoezi la utiaji saini Mikataba mbalimbali ikiwemo Ujenzi wa
Meli mpya ya abiria na mizigo, Chelezo, ukarabati wa Meli za Mv Victoria
na Mv Butiama, Mikataba ambayo ilisainiwa kati ya Kampuni ya Huduma za
Meli Tanzania Marine Services Company (MSCL) na Kampuni tatu za Korea
Kusini ambazo ni M/S STX engine Co ltd, Saekyung Construction ltd na
KTMI Co ltd.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi katika Bandari ya Mwanza Kusini mara baada ya
kushudia utiaji saini wa Mikataba mbalimbali ikiwemo Ujenzi wa Meli mpya
ya abiria na mizigo, Chelezo, ukarabati wa Meli za Mv Victoria na Mv
Butiama, Mikataba ambayo ilisainiwa kati ya Kampuni ya Huduma za Meli
Tanzania Marine Services Company (MSCL) na Kampuni tatu za Korea Kusini
ambazo ni M/S STX engine Co ltd, Saekyung Construction ltd na KTMI Co
ltd.
Mfano wa Meli mpya itakayojengwa ambayo Mkataba wake umesainiwa. Meli
hiyo itakuwa na Urefu wa Mita 90, Kimo mita 10, uwezo wa kubeba abiria
1200 magari madogo 20, mizigo tani 400 na itakuwa ikisafiri kwa muda wa
masaa sita tu kutoka Mwanza mpaka mkoa wa Kagera.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Balozi wa Korea Kusini hapa nchini Song Geum Yong watatu
kutoka kushoto waliokaa,Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella wakwanza
kulia waliokaa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack
Kamwelwe watatu kutoka kulia pamoja na wabunge mbalimbali wa mikoa ya
Kanda ya ziwa.
No comments:
Post a Comment