Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akivuta utepe pamoja na Mama Maria Nyerere mke wa Hayati
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ili kuweka jiwe la msingi mradi wa
ujenzi wa Barabara ya Makutano-Nyamuswa- Sanzate-Nata-Ikoma gate km 135
katika sehemu ya Makutano-Sanzate km 50 katika sherehe zilizofanyika
Butiama mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimshukuru Mama Maria Nyerere mke wa Hayati Mwalimu Julius
Kambarage Nyerere mara bada ya kuweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa
Barabara ya Makutano-Nyamuswa- Sanzate-Nata-Ikoma gate km 135 katika
sehemu ya Makutano-Sanzate km 50 katika sherehe zilizofanyika Butiama
mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiimba na kucheza pamoja na vijana wa Kambi ya JKT Rwamkoma
iliyopo mkoani Mara mara baada ya kuweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi
wa Barabara ya Makutano-Nyamuswa- Sanzate-Nata-Ikoma gate km 135 katika
sehemu ya Makutano-Sanzate km 50 katika sherehe zilizofanyika Butiama
mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wananchi wa Butiama(hawaonekani pichani) kabla
ya kuweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Barabara ya
Makutano-Nyamuswa- Sanzate-Nata-Ikoma gate km 135 katika sehemu ya
Makutano-Sanzate km 50 katika sherehe zilizofanyika Butiama mkoani Mara.
Mzee Joseph Butiku akiwa amekaa na Mwanasiasa mklongwe Stephen Wassira
pamoja na viogozi wengine wakifatilia kwa makini hotuba ya Rais Dkt.
Magufuli katika sherehe hizo za uwekaji wa jiwe la msingi Butiama mkoani
Mara.
Kikundi cha ngoma za asili cha Engubha cha kabila la wakabwa wenyeji wa Butiama mkoani Mara kikitumbuzia katika sherehe hizo. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment