Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Marafiki wa Uturuki na Mbunge wa Viti
Maalum, Mhe. Fatma Toufiq (kulia) akizungumza na Balozi wa Uturuki
nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu (katikati) kwa lengo la kuboresha
uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi, kikao kilichofanyika Bungeni Jijini
Dodoma. Kushoto ni Mwandishi Mwandamizi wa Taarifa Rasmi za Bunge, Ndg.
Patson Sobha
Wajumbe wa Chama cha Wabunge Marafiki wa Uturuki wakiongozwa na
Mwenyekiti, Mhe. Fatma Toufiq (watatu kushoto) wakimsikiliza Balozi wa
Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu (wa pili kushoto) wakati wa
kikao baina yao kilicholenga kuboresha uhusiano kati ya Bunge na
Ubalozi, kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.
Wajumbe wa Chama cha Wabunge Marafiki wa Uturuki wakiongozwa na
Mwenyekiti, Mhe. Fatma Toufiq (katikati) wakiwa katika mazungumzo na
Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu (wa pili kushoto)
wakati wa kikao baina yao kilicholenga kuboresha uhusiano kati ya Bunge
na Ubalozi, kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.
Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu (kulia)
akizungumza na Wanachama wa Chama cha Wabunge Marafiki wa Uturuki
walioongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho na Mbunge wa Viti Maalum, Mhe.
Fatma Toufiq (kushoto) katika kikao kilichofanyika leo Bungeni Jijini
Dodoma. Kikao hicho kililenga kuboresha uhusiano kati ya Bunge na
Ubalozi
Mjumbe wa Chama cha Wabunge Marafiki wa Uturuki na Mbunge wa Chilonwa, Mhe. Joel Mwaka akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu na Wanachama wa Chama cha Wabunge Marafiki wa Uturuki (hayupo kwenye picha) katika kikao kilichofanyika leo Bungeni Jijini Dodoma. Kikao hicho kilikuwa na lengo la kuboresha uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment