ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, September 15, 2018

TASWIRA YA MAZIKO YA MZEE MWILIMA HUKO NEW JERSEY,


Familia ya Marehemu Mzee Omary Mwilima wakiwa pembeni ya gari lililokuwa limebeba mwili wa baba yao mpendwa Mzee Mwilima alietangulia mbele ya haki alfajiri ya Tar, 12/09/2018. Na kuzikwa siku ya Tar, 13/09/2018 katika makaburi ya Marlboro Muslim Memorial, New Jersey.
 Mzee mwilima alikuwa anaisha hapa New York na mke wake Bi Leyla pamoja na watoto wao Asya na Katy.


 Na HITMA ya  Mzee Mwilima itafanyika
30 Overhill Rd,
 Mt Vernon, NY
Leo jumamosi kuanzia saa Nane Mchana wote mnakaribishwa.


Hapa ni Asya mtoto wa marehemu Mz ee mwilima akiweka udongo juu ya kaburi la baba yake.


Familia na marememu wakipata ukodaki mbele ya kaburi, Kwa twaswira zaidi nenda chini,

No comments: