ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 14, 2018

MAKAMU WA RAIS AMALIZA ZIARA MKOANI KILIMANJARO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi na Watendaji wa mkoa Kilimanjaro wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara yake mkoani humo katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISIEMI Mhe. Selemeni Jafo  wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara yake mkoani Kilimanjaro kilichofanyika kwenye ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments: